Waliochaguliwa Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2025,Selection Form Five 2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2025 na Vyuo vya Kati, Form five Selection 2025.
Uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati, Selection Form Five au form five slection ni utaratibu uliowekwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) pamoja na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTVET).
Kila mwaka, baada ya Matokeo ya Mtihani wa kidato cha Nne, waliochaguliwa kidato cha Tano hutangazwa ambapo Wanafunzi hupangiwa shule kulingana na alama walizopata na vigezo vingine vilivyowekwa na serikali.
Hii ni hatua muhimu kwa wazazi, walezi, na wanafunzi kujiandaa kwa Safari mpya ya Elimu ya juu ya Sekondari.
Kuona Matokeo ya Uchaguzi Kidato Cha Tano 2025 moja kwa moja kwa urahisi Chagua Mkoa wako hapa chini, Chagua Wilaya pamoja na Shule uliyoma.
BOFYA HAPA CHINI KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA
CHAGUA MKOA ULIKOSOMA
NB: SELECTION ZA FORM FIVE 2025 ZINATOKA HIVI KARIBUNI: